Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Degremont-Spencon Consortium wakiendelea na ujenzi wa mtambo wa kusafisha maji wa Ruvu Chini
Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Degremont-Spencon Consortium wakiendelea na ujenzi wa mtambo wa kusafisha maji wa Ruvu Chini ambao unatarajiwa kukamilika Machi mwakani. Kukamilika kwa ujenzi huo kutasaidia kupunguza adha ya maji kwa kiasi kikubwa kwa wakazi wa Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)
Reviewed by crispaseve
on
06:58
Rating:
Post a Comment