Header AD

TAMASHA LA TIGO LAPAGAWISHA WATU KAHAMA

 Burudani mbalimbali zikiwemo sarakasi na Msanii wa Muziki wa kizazi kipya H Baba zikinogesha Tamasha la Tigo mjini Kahama, Shinyanga hivi karibuni. Wateja walipata zawadi lukuki zikiwemo   simu, Tshirt na kofia za Tigo.Vilevile huduma za Tigo zilipatikana katika viwanja hivyo
 Sehemu ya umati wa watu
 Wateja wakipata huduma za tigo
H BABA akitumbuiza
Reviewed by crispaseve on 01:26 Rating: 5

No comments

Post AD