Header AD

Matukio Mbalimbali ya Rais Kikwete katika Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bwana Raymond Chambers  mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika vita dhidi ya Malaria wakati wa kikao maalum cha African Leaders Malaria Alliance(ALMA) kilichofanyika jijini Addis Ababa leo.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati wa kikao maalum kilicojadili masuala ya Maziwa Makuu kilichofanyika jana jijini Addis Ababa Ethiopia.

Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa ambapo Mkutano  wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika (AU) ulifanyika.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Malawi Bwana Khumbo Kachali jijini Addis Ababa Ethiopia wakati wa mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika leo.(picha na Freddy Maro).
Reviewed by crispaseve on 04:02 Rating: 5

No comments

Post AD