Header AD

MELI ZA IRANI KUFUTWA NCHINI?

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kushoto) akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu sakata la baadhi ya meli za Irani zinazodaiwa kupeperusha Bendera ya Taifa ya Tanzania katika Bahari ya Hindi. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, John Haule. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)




Wanahabari wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika mkutano huo
Reviewed by crispaseve on 04:29 Rating: 5

No comments

Post AD