Header AD

Tamasha La Chagga Day 2012 Lafanyika Jana Leaders Club!!

Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika   viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana.
wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu, ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na vingine vingi
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day jana
You might also like:
Reviewed by crispaseve on 08:01 Rating: 5

No comments

Post AD