Header AD

Taswira Za Shughuli Mbalimbali Za Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Ikulu Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Baharini (IMO) William Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa Mazungumzonae.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Juma Alfani Mpango,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa Mazungumzo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi wa Katibu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Usafiri wa Baharini (IMO) William Azuh,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa Mazungumzo .
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kiongozi wa Mabalozi waliopo Tanzania,pia Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo JUma Alfani Mpango,(katikati) na Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu(UAE) pia Kiongozi wa Mabalozi wa Nchi za Kiarabu nchini Tanzania,Mallalla Mubarak  Suweid  El-Amri, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa
Mazungumzo.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Uongozi wa Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,ukiongozwa na Rais wa Jumuiya hiyo Awadh Ali Said,(wa pili kushoto).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Reviewed by crispaseve on 08:11 Rating: 5

No comments

Post AD