Header AD

WAZIRI MEMBE ATOA MKONO WA POLE KWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt.Ali Mohamed Shein,akisalimianana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Benard Membe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kwa madhumuni ya kutoa mkono wa pole kwa Rais kutokana na Ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Seagul,na kusababisha wananchi kupoteza maisha. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Reviewed by crispaseve on 10:19 Rating: 5

No comments

Post AD