Mkurugenzi
mtendaji wa kampuni Tigo Tanzania Diego Gutierrez akifafa jambo wakati
wa uzindizu wa rasmi wa kampeni ya “Tigo Lete kwa lugha” ambao una lengo
la kuwekeza katika wajasiriamali ambao yatakayosaidia mawazo thabiti ya
kuboresha maisha ya watoto wakwanza kushoto Waziri wa Maendeleo ya
Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba (katikati) afisa wa huduma za
kijamii ya kampuni ya Tigo Woinde slaps Shisael.mkutano huo ulifanyika
katika Hotel ya Serena jijini Dar es salaam
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akitoa hutuba wakati wa uzinduzi huo ambapo alikuwa mgeni rasmi
Wadau
na waandishi wa habari wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba
Meneja
mkuu wa kitengo cha kampuni ya Tigo wa huduma za kijamii, Esther
Palsgraaf akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo wa kampeni ya “Tigo
Lete kwa lugha”
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Simba, Sophia akipongezana
na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tigo Tanzania Diego Gutierrez mara baada
ya kumalizika uzinduzi hu.PICHA NA PHILEMON SOLOMON
Post a Comment