KOCHA WA KIMATAIFA WA MASUMBWI SUPER D ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TAIFA
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na mabondia wa timu ya taifa na makocha wenzake alipotembelea mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea katika GYM ya Gymkhana.Picha na www.superdboxingcoach. |
Reviewed by crispaseve
on
05:26
Rating:
Post a Comment