Header AD

BALOZI KAGASHEKI MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA FILAMU KWA WASANII WA KAGERA-WAKALI WA BONGO MOVIE WASHANGAZWA NA BUKOBA,MSANII BK SUNDAY,KAKAU BAND NA 'KANGA MOKO' WAWAKOSHA MASHABIKI!!!!!

Anaonekana Mkurugenzi wa ZACHWA INVESTMENT ambao ni waandaji wa tamasha hili Ndg Mganyizi akimkaribisha mgeni Mgeni Rasmi Balozi Kagasheki kufanya ufunguzi rasmi.
Mh. Balozi Hamis Kagasheki Waziri wa Maliasili na Utalii akifungu tamasha la Usiku wa filam kwa wasanii wa Kagera lililofanyika katika kmbi wa Linas Night Club.
Wasanii wa nymbani katika action


Sehemu ya Mashabiki waliojitokeza kushuhudia tamasha hili
Wada walivyo tokelezea







Hii ni kwa mktasari vile wakivyo haribu wanenguaji wa Kanga moja!!!




Bi Maua Ramadhani katika pozy
Reviewed by crispaseve on 10:16 Rating: 5

No comments

Post AD