LIVE KUTOKA KANISA LA KASHOZI MAHADHIMISHO YA KUAMISHA MWILI WA MWADHAMA KARDINAL LAUREAN RUGAMBWA .
Anaonekana Baba Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Bukoba, Methodius Kilaini mara tu baada ya kukagua gari litakalo tumika
kubebe mwili wa marehemu Kardinali Rugambwa
Muonekano wa ndani ya Gari.
Muonekano wa gari litakalo ubeba mwili wa Marehemu Kardinali
Rugambwa likiwa tayari limepambwa Maua.
Mtangazaji wa kipindi cha dini, TBC katika
kuwajibika
Mzee
Dioniz Malinzi akiteta jambo na Askofu Kilaini.
Kila
baada ya muda ndivyo wanavyozidi kuwasili Viongozi mbalimbali wa dini
.
Kikundi cha Ngoma kutoka
nchini Rwanda kikiendelea na mashamsham katika mahadhimisho haya.
Shamrashamra za hapa na pale zikiendelea.
Wadau
na waumini wakikiristo wakifurahia burudani ya ngoma kutoka Nchini
Rwanda.
Watu
na matukio,hapa waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari
wakiwajibika
Bukobawadau blog tupo
kuakisha unapata kile kinachostahili live.
Picha zaidi zinaendelea
tukiwa moja kwa moja kanisani, na ratiba inaonyesha ibada itaendelea mpaka saa
7, na kufuatiwa na chakula cha mchana baada ya hapo ni maandamano kuelekea
kanisa kuu Mjini Bukoba tayari kwa mazishi mida ya saa kumi alasili.
Mwili wa Kardinali
Rugambwa ulipo, kabla ya muda wa kutabaruku
Ndani ya kanisa muda
mchache kabla ya Ibada.
Waumini wakisikiliza ,
historia ya marehemu inayo endelea kutolewa
KWA TARIFA RASMI
SHUGHULI HII ITAHUDHULIWA NA WAZIRI MKUU MH.MIZENGO PINDA AMBAYE ATAWASILI
MJINI HAPA MAJIRA YA SAA 9.. KWA HISANI YA BUKOBA WADAU BLOG
Reviewed by crispaseve
on
10:16
Rating:



















Post a Comment