Header AD

SIMBA WAKIREJEA DAR KUTOKA KAMBINI ZANZIBAR KWA AJILI YA KUKIPIGA NA AZAM KESHO

 Baadhi ya wachezaji wa timu ya Simba, wakiwa katika Boti ya Kilimanjaro wakitoka Mjini Zanzibar walikokuwa wameweka Kambi ya muda ya kujiwinda na kujiandaa na mchezo wao na Azam, mchezo unaotarajia kuchezwa kesho jijini Dar es Salaam. Kutoka (kushoto) ni Amri Kiemba (kulia) ni Ramadhan Ledondo.
 Mrisho Ngasa, pia ni miongoni mwa wachezaji waliorejea jijini Dar es Salaam kutoka Zanzibar leo.
 Juma Kaseja, akijisomea gazeti ndani ya Boti ya Kilimanjaro.
Kigi Makassy, akijipumzisha.
Reviewed by crispaseve on 02:33 Rating: 5

No comments

Post AD