Header AD

Rais Kikwete azindua rasmi Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - Arusha (NM-AIST)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho katika sherehe za uzinduzi wake rasmi Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya utafiti wa vinasaba katika mimea wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha za pamoja wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu wa zamani Mzee Edwin Mtei wakati uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari wakati uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012
Reviewed by crispaseve on 08:44 Rating: 5

No comments

Post AD