AROBAINI WARIPOTI KAMBI YA TAIFA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013
Washiriki
wanao wanania Taji la Miss Utalii 2012/13 wakiwa katika picha ya pamoja
muda mfupi baada ya kuwasili Kambini, Ikondolelo Lodge Hoteli iliyopo
Kibamba Jijini Dar es salaam.
………………………………………………………………………….
Jumla ya warembo arobaini kati ya
sitini wa Miss Utalii Tanzania kutoka mikoa yote ya Tanzania.tayari
wameripoti kambini leo,kuanza kambi Taifa ya siku 21 kuanzia leo. Kambi
hiyo mwaka huu iko katika Hoteli ya Ikondelelo Lodge iliyoko Kibamba
Dar es Salaam.
Warembo walio ripoti kambini hadi
sasa ni kutoka mikoa ya Arusha (Rose Godwin), Dar es Salaam 1 (Sophia
Yusuph),Dar es Salaam 2(Ivon Stephen),Dar es Salaam 3 (Irine
Thomas),Dodoma (Erica Ekibariki), Geita (Hamisa Jabiri), Iringa (Debora
Jacob), Kagera 1(Elline Bwire), Kagera2 (Jania Abdul), Kagera 3(Mulky
Uda), Kilimanjaro (Anna Pogaly), Lindi (Joan John), Mtwara (Halima
Hamis),Mara (Dorine Bukoni), Manyara (Mary C. Lita), Mbeya (Diana
Joachim), Mwanza (Jesca Peter), Morogoro (Hadija Said),Tanga (Sarafina
Jackson), Tanga (Leah Makange), Tabora (Magreth Malalle), Njombe
(Pauline Mgeni), Rukwa (Anganile Rogers), Katavi (Asha Ramadhani ),
Simiyu (Flora Msangi), Shinyanga (Lightness Kituwa), Ruvuma (Furaha
Kinyunyu), Kigoma 1(Zena Ally), Kigoma 2(Rosemary Emmanuel), Pwani
(Beatrice Iddy), Singida (Neema Julius), Singida (Christina Daud),Vyuo
Vikuu (Irine Richard), Vyuo Vikuu (Hawa Nyange)
Warembo wote wakiwa
kambini,watapewa mafunzo na semina mbalimbali kuhusiana na Utalii,
Utamaduni, Uwekezaji, Afya ya Jamii, Elimu ya Jamii, Wanyama Pori,
Mazingira, Madini,Ulinzi Shirikishi n.k, chini ya jopo la wakufunzi la
mashindano haya wakiongozwa na mkufunzi mkuu (Chief Choreographer)
Erasato Gideon, pamoja na Mkufunzi Mkuu wa Ngoma za Asili Mariam A.
Kweji toka Kaole Sanaa Group,Mkufunzi wa Miziki na Dansi la Asuku Che
Mundugwao,wakufunzi wa minato na miondoko ya Urembo na Mitindo Caroline
Y. Mrosso na Evamary Gamba
Reviewed by crispaseve
on
09:30
Rating:
Post a Comment