RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA LA ZANZIBAR ZBC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,(katikati) na
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Juliun Raphael,alipowasili katika Viwanja vya
Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,kuufungua Mkutano wa Saba (7) wa
Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa Saba (7)
wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa
Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui.
Wadau wa Mkutano wa Saba (7) wa
Baraza la Biashara ZBC wakiwa katika Mkutano Uliofanyika kwa
kujadili masuala mbali mbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano huo
ulifanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Wajumbe wa Mkutano wa Saba wa
Baraza la Biashara la Zanzibar,kutoka Taasisi na Makampuni mbali mbali
,wakifuatilia kwa makini taarifa na mada zilizotolewa katika mkutano
huo,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel,Mjini Unguja.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali
zilizotolewa katika Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar
ZBC,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Baadhi ya watendaji wa Taasisi mbali mbali wakifuatilia kwa makini agenda za mkutano wa Saba ( 7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Reviewed by crispaseve
on
09:27
Rating:
Post a Comment