JK afungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi ulifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa
Waandamizi wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kufungua mkutano wao
wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma jana
Jioni,Kauli Mbiu ya mkutano Huo ni” Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi
kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila
Shuruti,”.Walioketi Mbele ni.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt.Emmanuel Nchimbi,Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi
Mwema,Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda na
Naibu Spika Johna Ndugai.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani
Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi
Saidi Mwema muda mfupi baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma jana. Picha na Freddy
Maro wa Ikulu
Reviewed by crispaseve
on
00:48
Rating:
Post a Comment