KINANA NDANI YA MAKETE.
Wananchi wakimsangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,
alipohutubia mkutano wa hadhara wa katika Kijiji cha Inio, Makete
mkoani Njombe, leo Mei 30, 2-13.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza
kwenye mkutano wa shina namba mbili, Mtaa wa Singida, Tawi la Tandala,
wilayani Makete mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru mjumbe wa shina
namba mbili, Mtaa wa Singida, Tawi la CCM Tandala, Makete mkoani
Njombe, Zakia Sanga, baada ya kushiriki kikao cha shina hilo, leo Mei
30, 2013, akiwa katika ziara ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama
mkoani Njombe. Wapili kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
akizungumza kwenye kikao cha shina la mjumbe Paschal Sanga, katika Kata
ya Tandala, Makete mkoani Njombe, katika ziara ya kikagua na kuimarisha
uhai wa chama. Wengine ksuhoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga. Kulia ni
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete, Francis Chaula.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akiwa na mjumbe wa shina namba mbili, Paschal Sanga, wakati mjumbe huo
aliposindikiza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa
tano lushioto), baada ya Kinana na Nape kushiriki kikao cha shina hilo,
leo Mei 30, 2013 akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa chama mkoani
Njombe.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa
hadhara katika Kijiji cha Ukwama, wilayani Makete, wakimshangilia Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano huo, leo Mai 30,
2013.
Vijana wa kikundi cha vijana, wakitumbuiza katika
mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika Kijiji cha Ukwama, Makete mkoani
Njombe.
Wasanii wa Kikundi cha ngoma ya
Ling'oma ya Kinyakyusa, wakiontesha uhodari wao wa kucheza ngoma,
mkutano wa CCM Kijiji cha Inio, Makete. (Picha na Bashir Nkoromo).
Reviewed by crispaseve
on
09:49
Rating:
Post a Comment