Header AD

MWILI WA AFISA HABARI MKUU WA OFISI YA BUNGE WAWASILI NCHINI


1 
Mwili wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge umewasili nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti ukamkuta. Heshima za mwisho zitatolewa leo tarehe 30 Mei, 2013 nyumbani kwake Dar es Salaam, Ubungo-Kibangu kuanzia saa tano asubuhi 2Jeneza lenye mwili wa marehemu Ernest Zulu likiwa kanisani wakati wa ibada ya kumwombea 3Mke wa marehemu Zulu (aliyefunga mkono) akiwa kanisani 4Watoto wa marehemu Zulu wakiomboleza kifo cha baba yao mpendwa 5Maandalizi ya ibada ya Misa takatifu ya kumwombea marehemu 6Waomboleza kwenye msiba wa marehemu Ernest Zulu
Reviewed by crispaseve on 06:09 Rating: 5

No comments

Post AD