TIGO YAFANIKISHA HAFLA YA MABLOGGER DAR
Mmiliki wa Kajuna Blog, akikabidhiwa zawadi ya IPAD, na Ofisa wa Biashara na masoko wa Tigo, Gaudance Mushi (kulia) baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa kucheza muziki katika hafla hiyo. |
Blogger mwanamke aliyeshinda kucheza muziki akipatiwa zawadi ya Ipad mpya |
Mablogger wanawake wakishindana kucheza muziki katika hafla hiyo |
Mmiliki wa Blogu ya Kamanda wa Matukio, Kamanda Richard Mwaikenda (aliyevaa shati la drafti kushoto) akiwa na mabloga wenzake wakishuhudia mpambano huo |
Boss wa kampuni ya DeSiaMore I.T & Arts, Raymond Maganga (kushoto) na Emmanuel Feruz ambaye ni Google Student Ambassador wa IFM, wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo. |
Blogger wa kike akipatiwa zawadi ya simu baada ya kuwa mshindi wa pili
Mablogger wanaume wakishindana vikali kucheza muziki kuwania zawadi za IPAD na Simu |
Post a Comment