FAHAMU CHIMBUKO LA MATIMILA BENDI, NA MIKAKATI ILIYOPO KWA SASA
Kushoto
ni Mtangazaji wa Ruvuma TV Nancy Mbogoro akimuuliza swali Mpenda Mvula
ambaye ni mtoto wa marehemu Abrose Mvula aliyekuwa mmiliki wa bendi ya
Super Matimila.
..................................
Mtoto
wa Mzee Abrose Mvula ambaye ndiye alikuwa mmiliki wa bendi ya Super
Matimila aelezea chimbuko la bendi hiyo , Historia ya bendi,kwa nini
iliitwa matimila,ilikuwaje mzee wake akaanzisha bendi hiyo pamoja na
historia ya Remmy Ongala akiwa na bendi ya Matimila na mikakati iliyopo
juu ya bandi hiyo kwa sasa.
FAHAMU CHIMBUKO LA MATIMILA BENDI, NA MIKAKATI ILIYOPO KWA SASA
Reviewed by crispaseve
on
05:37
Rating:
Post a Comment