RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km
132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na mamia ya wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua
barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango
cha lami.
Sehemu
ya Wananchi waliofika kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya
Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telak
wakwanza kushoto, wabunge wa mkoa wa Shinyanga pamoja na Wanachama wapya
wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohamia kutoka vyama vya Upinzani.
Sehemu ya Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya
Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea
Kahama mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU
RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA
Reviewed by crispaseve
on
05:36
Rating:
Post a Comment