MAELFU WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS
Msemaji
wa Kamati ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea ambaye pia ni Director
kutoka Visual lab Bw Adam Juma akielezea ratiba ya Shughuli nzima ya
Mazishi itakavyokuwa mara baada ya zoezi la kutoa heshima za mwisho
zitakapomalizika
Baadhi
ya Wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Wa Kwanza Kabisa ni Mkoloni
akifuatiwa na Madee ambaye ni wa Tatu kutoka Mbele wakitoa heshima zao
za mwisho kwa mwili wa Marehemu Albert Mangwea
Msanii Wa Muziki wa Kizazi Kipya Nasibu Abdul almaarufu kama Diamond akipita kutoa heshima zake za mwisho.
Baadhi
ya Wasanii wa Fani mbalimbali pamoja na ndugu,jamaa na marafiki
wakipita pembezoni mwa jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Albert
Mangwea na kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Albert Mangwea leo
katika viwanja vya leaders
Msanii
wa Muziki Keisha (aliyejifunga kiremba Cheupe) akifuatiwa na Noora
wakiwa na nyuso za huzuni wakati wakipita kwaajili ya kutoa heshima zao
za mwisho leo katika viwanja vya leaders
Wasanii
wa fani ya Maigizo hapa Nchini Mzee Magari (aliyeshika Koti jeusi)
akifuatiwa na Msanii Natasha Pamoja na Monalisa wakipita kwaajili ya
Kutoa Heshima zao Za mwisho kwa Marehemu Albert Mangwea leo katika
Viwanja vya leaders
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wakitoa Heshima za Mwisho
Jeneza
lenye Mwili wa Marehemu Albert Mangwea likiwa juu ya meza tayari kwa
Wakazi wa Jiji la Dar Kuanza kutoa Heshima Zao za Mwisho katika Viwanja
Vya Leaders leo.
Mwakilishi
kutoka Wizara ya Habari, utamaduni na Michezo Bi Lilian Bereko akitoa
Salamu za Rambirambi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo leo
katika viwanja vya leaders kabla ya Wakazi wa Jiji la Dar hawajaanza
kutoa heshima zao za mwisho
Mmoja
kati ya watu wa karibu wa Marehemu Albert Mangwea ambaye pia ni msanii
wa muziki wa Kizazi kipya kutoka Katika Kundi aliloanzisha Marehemu
Albert Mangwea Mez B akitoa historia fupi ya Kundi la Chamber Squade
katika viwanja vya leaders leo
Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar pamoja na vitongoji vyake wakiwa wamekaa
tayari kwa kusubiria shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa
marehemu Albert Mangwea leo katika viwanja vya leaders
Baadhi
ya Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa na Nyuso Za Huzuni wakati wa kuaga
mwili wa Marehemu Albert Mangwea leo katika Viwanja vya Leaders
Baadhi
ya wakazi wa Jiji la Dar wakiwa kwenye foleni ya kwenda kutoa heshima
zao za mwisho pamoja na kuuaga mwili wa Marehemu Albert Mangwea leo
katika Viwanja Vya Leaders
Askari
Polisi wakijaribu kuweka mambo sawa ili kusudi wakazi wa Jiji la Dar
pamoja na vitongoji vyake kuweza kuingia kwaajili ya kutoa heshima zao
kwa utaratibu mzuri na kuepusha vurugu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar wakiwa wanatoka kutoa heshima zao za Mwisho
ENDELEA KUWA NASI PICHA ZAIDI ZINAKUJIA MUDA SI MREFU
Reviewed by crispaseve
on
10:06
Rating:
Post a Comment