MWILI WA ALBERT NGWEA WAPOKELEWA KWA HUZUNI KUBWA,NA KUMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mwili ukipelekwa muhimbili....
Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mangwea
Prof Jay akihojiwa na vyombo vya habari
Reviewed by crispaseve
on
06:34
Rating:
Post a Comment