MAELFU WAMUAGA MANGWEHA MKOANI MORO Afande Sele akiongea machache wakati wa zoezi la kuaga mwili wa Mangweha. Umati wa watu waliofika uwanjani hapo. Mwili wa marehemu Mangweha ukiwa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Moro. Wananchi wakisubiri kwenda kumuaga Mangweha. sorce:global publishers
Post a Comment