Header AD

MWANAMUZIKI BRUNO MARS AFIWA NA MAMA YAKE MPENZI.

Picha inaonyesha kipindi Mwanamuziki Bruno Mars alipokuwa mdoogo, mama yake ni wakatikati waliokaa juu.
Kutoka kushoto wa pili ni marehemu mama yake akifuatiwa  na Bruno Mars zamani .
Mama Mzazi wa Mwanamuziki wa Mwanamuziki Peter Gene Hernandez maarufu kama Bruno Mars(28) aitwae Bernadette Hernandez ameripotiwa kufariki dunia nyumbani kwake katika visiwa vya Hawaii baada ya tatizo lilokuwa linamsumbua kwa muda mrefu la  ubongo.
Mama Mzazi wa msanii huyo ambae alikuwa na umri wa miaka 55 alifariki dunia siku ya jumamosi alihabarisha mtu wa karibu wa msanii huyo ambaye hakupenda jina lake litajwe.
Kifo cha Mama mzazi wa Bruno Mars Kimefuatia baada ya kutangazwa siku ya Ijumaa kwamba alikuwa akisumbuliwa na Heart Attack baada ya kupelekwa katika Hospitali ya Queens Medical Center mpk pale umauti ulipomkuta siku ya Jumamosi.
Reviewed by crispaseve on 05:37 Rating: 5

No comments

Post AD