Header AD

MWILI WA ALBERT MANGWAIR WAWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS NYERERE. VILIO NA MAJONZI VYATAWALA.

Mwanamuziki kutoka kundi la wateule akiwa ameshiba msalaba wa Albert Mangwair baada ya mwili wake kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere.
Photo: Friends and fan #ngwair arrival #airport
Baadhi ya mashabiki na wapenzi wa nyimbo za marehemu Albert Mangwair wakilia kwa uchungu Airport jijini Dar es salaam baada ya mwili wa kipenzi cha watu kuwasili.
Photo: #ngwair #airport
Pichani ni baadhi ya Watanzania wakiusubiria mwili wa marehemu Albert mangwair kuwasili uwanja wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere.
Photo: #bananazorro and #media
Mmoja wa marafiki na msanii Mangwair Banana Zorro akihojiwa na mwandishi wa habari wakati wakiusubiria mwili wa marehemu huyo.
Photo: #airport cargo section gate 6 waiting for our brothet #cowboy #ngwea
Reviewed by crispaseve on 05:34 Rating: 5

No comments

Post AD