Header AD

Huyu ndie Mrembo wa Dunia (Miss World 2013) kutona nchini Philipino.

Mrembo Megan Young kutoka nchini Philippino,leo afanikiwa kunyakua Taji la Mrembo wa Dunia (Miss World 2013) katika onyesho kubwa lililomalizika hivi punde huko nchini Indonesia.Mshindi wa Pili katika Taji hilo ni Marine Lorphelin kutoka nchini Ufaransa na watatu ni Kutoka nchini Ghana,Carranzar NaaOkailey Shooter.Chanzo Michuzi Blog
Reviewed by crispaseve on 05:34 Rating: 5

No comments

Post AD