Header AD

MH: MBUNGE AIBIWA 900,000, LAP TOP PAMOJA NA SIMU GUEST ALIKUWA AKILA URODA NA CHANGUDOA, TIMBWILI ZITO LAZUKA SO LAFIKA POLISI, ZA KAMERA XDEEJAYZ ZANASA LIVE TUKIO HILO!


 Hapa wananchi pamoja na muhudumu wa kiume kwa nyuma wakiwa wamemuweka kati msichana anaedaiwa kumuibia Mh Mbunge vitu hivyo wakielekea kituo cha Polisi Mabatini.
 Hapa mshare ukionesha mifuko ya huyu msichana ikiwa imetuna mihera aliyompiga mbunge huyo wa moja ya majimbo maarufu Mbeya.







Msichana akiwa nje ya kituo cha Polisi Mabatini akisubiri kuhojiwa!
Na Sakina Shabani
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mchana wa jana Jumanne wakazi wa maeneo ya Kijitonyama Jijini Dar wameshuhudia tukio la aibu la Mh: Mbunge mmoja jina "linahifadhiwa" akikumbwa na balaa la kuibiwa kila kitu kwenye nyumba moja ya kulala wageni.
Kamera za XDEEJAYZ ambazo kwa sasa ziko kila kona ya mitaa yote ya Jiji la Dar na mikoa mingine ilinasa tukio hilo Live huku umati mkubwa wa watu ukishuhudia na kupigwa na butwaa.
Habari zaidi toka kwa muhudumu wa nyumba hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Hawamu Juma ambae aliomba hifadhi ya jina la Guest kwa ajili ya kulinda kibarua chake alisema" Huyu dada alikuwa na Mheshimiwa "Flani" toka Jumamosi na walikuwa wanatoka usiku tu mchana kutwa wamejifungia humo lakini usiku wa kuamkia  leo palikuwa na kutokuelewana kati ya Mh huyo na Dada kwani waligombana sana bila kujua sababu wanayogombani" Alisema Hawamu
Aidha muhudumu huyo aliongeza kusema ilipofika usiku wa manane alimuona muhudumu huyo akitoka huku akizuga kama analia huku akiwa na begi lake lililojaa nguo na yeye hakujua kama msichana huyo ndo kesha haribu ndani" Akiwa anatoka aliniomba nimfungulie geti huku akilia kwa uchungu kumbe alikuwa keshamuibia kila kitu mh huyo" Alisema kijana huyo
Baada ya asubuhi mbunge huyo alikuja mbia kaunta na kuuliza kama tumemuona dada huyo ambapo tulumueleza alitoka toka usiku wa manane akiwa na begi ndipo mbunge huyo alipotabainisha kuwa ameibiwa kila kitu huku machozi yakimtoka.
Asubuhi hiyo msako mkali ulianza ambapo kutokana na kumfahamu msichana huyo hadi kwao basi vijana walijikusanya haraka na kuanza msako hadi kumkamata ambapo vitu alivyoiba pesa kiasi cha shilingi laki tisa, Laptop na simu ambapo baada ya kumkata msichana huyo alikili kuchukua na kusema alijilipa ujila wake baada ya Mh huyo kumzingua kwenye malipo na akaweka msisitizo kuwa anahitaji wakayamalize polisi kwani anachake anachodai kwenye hizo mali.
Hata hivyo hadi paparazi wa XDEEJAYZ wanaondoka eneo la tukio waliacha umati mkubwa wa watu wakishuhudia tukio hilo.
TAMASHA LA AMANI NA UPENDO NI TAREHE 8 DESEMBA 2013 KATIKA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII!
MH: MBUNGE AIBIWA 900,000, LAP TOP PAMOJA NA SIMU GUEST ALIKUWA AKILA URODA NA CHANGUDOA, TIMBWILI ZITO LAZUKA SO LAFIKA POLISI, ZA KAMERA XDEEJAYZ ZANASA LIVE TUKIO HILO! MH: MBUNGE AIBIWA 900,000, LAP TOP PAMOJA NA SIMU GUEST ALIKUWA AKILA URODA NA CHANGUDOA, TIMBWILI ZITO LAZUKA SO LAFIKA POLISI, ZA KAMERA XDEEJAYZ ZANASA LIVE TUKIO HILO! Reviewed by crispaseve on 09:18 Rating: 5

No comments

Post AD