Header AD

SNURA ALETA SHIDA KARUME MIDUME MIMACHO KODOOOOOO- ANGALIA PICHA na VIDEO HAPA

 Ilikuwa kwenye show ya kichwaji cha GRAND MALT maeneo ya karumeshida ilianza pale mkali wa viuno mwanadada snura alivyopanda jukwaaani hali ilikuwa si shwali kabisa pale wauza mitumba waliaamua kupiga shangwe za hatari na kutaka mpaka kumshika snura kwa balaa alilolifanya. show ilivyoisha alitumia lisali moja na nusu kutoka kaatika uwanja huo kila mtu alitamani kumshika kila mtu alitaka kupiga nae picha. angalia video hapo chini hali ilivyokuwa.
 ni shida kwa kweli huyu dada.
SNURA ALETA SHIDA KARUME MIDUME MIMACHO KODOOOOOO- ANGALIA PICHA na VIDEO HAPA SNURA ALETA SHIDA KARUME MIDUME MIMACHO KODOOOOOO- ANGALIA PICHA na VIDEO HAPA Reviewed by crispaseve on 09:20 Rating: 5

No comments

Post AD