PROIN GROUP OF COMPANIES YAFANYA SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 NDANI YA MJENGO WA TRANIC PLAZA MWISHONI MWA WIKI
Mkurugenzi
wa kampuni ya Infinity Communication Stella Sakia akitoa Maneno ya
Ukaribisho kwa Wafanyakazi wote walio chini ya Proin Group of Commpanies
na wageni waalikwa wote katika sherehe ya kuukaribisha mwaka
iliyofanyika Mwishoni mwa Wiki katika Mjengo wa Tranic Plaza
Mwenyekiti
wa Makampuni ya Proin Group of Companies Bw Johson Lukaza
akiwakaribisha wafanyakazi wa makampuni yaliyo chini ya Proin Group of
Companies pamoja na wageni waalikwa katika sherehe ya kuukaribisha mwaka
2014 iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Jengo la Kampuni hiyo la
Tranic Plaza.
Mshereheshaji
wa Sherehe hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere
akiongea na wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi waliohudhuria sherehe
hiyo ya kuukaribisha mwaka 2014 iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika
Mjengo wa Tranic Plaza
Baadhi
ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe ya kukaribisha mwaka 2014
iliyoandaliwa na Proin Group Of Companies wakigonga glasi kama ishara ya
Upendo na Kuupokea mwaka katika sherehe iliyofanyika mwishoni mwa Wiki
katika Mjengo wa Tranic Plaza
Baadhi
ya wakurugenzi wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies
wakikata keki Kama ishara ya kuukaribisha Mwaka 2014 kwenye sherehe ya
kuukaribisha mwaka iliyofanyika mwishoni mwa Wiki katika Jengo la Tranic
Plaza.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini kila tukio lililokuwa likiendelea katika sherehe hiyo
Raha ya sherehe ni Msosi na Mziki baada ya hapo.........
Baadhi
ya wafanyakazi kutoka Proin Promotions Limited kampuni moja wapo
iliyopo chini ya Proin Group Of Companies wakiwa katika pozi la picha
Haya Baada ya Msosi wadau wakiserebuka Kwaito...
Mmiliki wa mtandao wa Lukaza Blog,
Bw Josephat Lukaza akiwa katika picha ya pamoja na Meneja masoko wa
Kampuni ya Proin Promotions Limited mara baada ya kukutana katika
Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka 2014 iliyofanyika mwishoni mwa Wiki katika
Mjengo wa Tranic Plaza.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

Reviewed by crispaseve
on
23:47
Rating:

Post a Comment