RIHANNA ASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 26 YA KUZALIWA KATIKA KISIWA CHA ASPEN..

Mwanamuziki wa Marekani Rihanna alisherekea siku ya kuzaliwa
juzi Tar 20 Feb kwa kutimiza miaka 26, ila kwa mwaka huu ilikuwa ni
tofauti kabisa na jinsi mwanamuziki huyo alivyozoeleka kushereka kipindi
cha nyuma.
Safari hii Rihanna aliiamua kukodisha nyumba ya kawaida
iliyojengwa kwa mbao iliyopo kwenye kisiwa cha Aspen, Colorado nchini
Marekani huku akiwa na rafiki zake wa karibuni ambapo waliweza kutumia
muda wao mwingi kucheza michezo mbalimbali ya kuteleza katika barafu
sambamba na zoezi la kukata keki..unaweza ukatazama picha ujionee jinsi
Bad Girl Riri alivyofanya yake…










RIHANNA ASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 26 YA KUZALIWA KATIKA KISIWA CHA ASPEN..
Reviewed by crispaseve
on
21:11
Rating:

Post a Comment