wawili wapatikana droo ya pili ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti
Meneja
wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo (kushoto) akionyesha zawadi ya simu
aina ya Samsung Tab ambayo washindi 2 wa droo ya winda safari ya
Brazili na Serengeti wamejishindia katika droo iliyochezeshwa leo
asubuhi. Anayeshuhudia ni afisa mwandamizi wa PWC Bw Tumaini aliyeko
kulia.
Meneja
wa bia ya Serengeti Bw Rodney Rugambo (katikati) akitangaza mshindi wa
promosheni ya winda safari ya Brazilin a Serengeti aliyejishindia simu
aina ya Samsung Tab. Wanaoshuhudia ni msimamizi wa michezo ya bahati
nasibu Bw Abdala aliyeko kushoto na afisa mwandamizi wa PWC Bw Tumaini
aliyepo kulia.
Meneja
wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo (katikati) akiongea na mshindi wa
droo ya winda safari ya Brazil na Serengeti aliyejishindia simu aina ya
Samsung Tab. Wanaoshuhudia ni msimamizi wa michezo ya bahati nasibu Bw
Abdala aliyeko kushoto na afisa mwandamizi wa PWC Bw Tumaini aliyepo
kulia
wawili wapatikana droo ya pili ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti
Reviewed by crispaseve
on
08:16
Rating:

Post a Comment