Baadhi
ya wateja wakubwa wa benki ya NMB na wafanyabiashara jijini Mwanza
wakimsikiliza meneja wa mahusiano wa biashara,Wogofya Mfalamagoha
wakati wa mkutano elekezi kwa wateja wa benki hiyo uliofanyika katika
Chuo cha Benki Kuu jijini Mwanza leo.
BENKI YA NMB YAFANYA MKUTANO ELEKEZI KWA WADAU WAKE JIJINI MWANZA
Reviewed by crispaseve
on
07:12
Rating: 5
Post a Comment