GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA "NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA"
Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.
Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza
kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke
Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia
kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na
hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema nini
mvua sisi tunataka sera tu tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea
wa (CCM)PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw.
Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni
uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu.
GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA "NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA"
Reviewed by crispaseve
on
15:18
Rating:
Post a Comment