KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha
Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni
za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea Kadi ya Chama chga Chadema
iliyorudishwa kwake na Bw. Hussein Yahya aliekuwa Katibu wa Chadema
katika Kijiji cha Hondogo
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimvalisha Kofia ya CCM,Bw. Hussein Yahya
aliekuwa Katibu wa Chadema katika Kijiji cha Hondogo mara baada ya
kujiunga na CCM leo
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akionyeshwa picha kwenye Kamera na Diwani
wa Kata ya Mandera,Madaraka Mbode
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akishiriki kuruka sambamba na wakina Mama
wa Kabila la Wamasai,wakati alipowasili kwenye Kitongoji cha Nameloki
Chatanga,Kijiji cha Umasaini,Kata ya Mandera
Kikundi
cha Ngoma kinachofahamika kwa jina la Muamko,kikitoa burudani ya
kucheza Ngoma aina ya Selo ya Kabila la Wazigua wakati wa Mkutani wa
Kampeni za CCM zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kijiji cha Magole,Kata ya
Mandera leo Machi 29,2014.Picha na Othman Michuzi
KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE
Reviewed by crispaseve
on
07:54
Rating:

Post a Comment