KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA:MGOMBEA UBUNGE WA CCM GOFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI ZAKE TOSAMAGANGA NA KALENGA
Mgombea
ubunge wa jimbo la Kalenga,Godfrey Mgimwa akiwa emebebwa juu na
Wananchi na wanachama wa CCM wakielekea kwenye eneo la Mkutano wa
hadhara wa kampeni.
Wakazi wa Kalenga A,wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge kupitia CCM zilizofanyika leo.
Wakifuatilia kwa makini
Makamu
Mwenyekiti (BARA) wa CCM,Ndugu Philip Mangula akihutubia kwenye kumtano
wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga,mapema leo
jioni kwenye Kata ya Kalenga A-Iringa vijijini.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Kalenga,kupitia tiketi ya CCM,Ndugu Godfrey Mgimwa
akiwahutubia wakazi wa kata ya Kalenga A mapema leo jioni kwenye mkutano
wa hadhara wa kampeni.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akipokea kadi ya
Chadema iliyorudishwa na Ndugu Said Omary Mbilinyi ambaye amerudi CCM
baada ya kutoelewa sera na siasa za Chadema.
KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA:MGOMBEA UBUNGE WA CCM GOFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI ZAKE TOSAMAGANGA NA KALENGA
Reviewed by crispaseve
on
00:16
Rating:
Post a Comment