KINANA AINGIA KWA KISHINDO KALENGA LEO, AMNADI MGIMWA KWA MAELFU YA WANANCHI WA MAGULILWA
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge jimbo la
Kalenga kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa kampeni
uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi katika Kijiji cha Magulilwa, jioni
hii.
Kinana akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba kabla ya kumnadi Mgimwa kwenye mkutano huo leo jioni
Maelfu ya wananchi wa Magulilwa wakinyoosha mikono kuahidi kumchagua Mgimwa, Kinana akipohutubia mkutano wa kampeni kwenye kijiji hicho leo jioni
"Rahis kusema, Vigumu kutenda, CCM inatenda wapinzani wanasema tu chochote hata uongo kwa sababu kusema ni rahisi, achaneni nao", akisisitiza Kinana wakati akihutubia wananchi wa Kijiji cha maguliwa jioni hii kumnadi Mgimwa.
Kinana akiwasalimia kwanza wananchi waliofurika kwenye mkutano huo, huku Mwigulu(kushoto) akimsikiliza baada ya kumkaribisha jukwaani Kinana
Mwigulu akihutubia mkutano huo kabla ya kumkaribisha Kinana
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mwigulu kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akishauriana jambo na Katibu wa CCM mkoa huo Hasani Mtenga. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog

Reviewed by crispaseve
on
13:53
Rating:
Post a Comment