RAIS KIKWETE KATIKA PICHA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA NDANI NA NJE YA NCHI IKULU LEO
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe yahaya Khamis Hamad na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia na Mawaziri Mhe John Lukuwi na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi 14, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo wa Nigeria, Festus Mogae wa Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde, Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka. PICHA NA IKULU
RAIS KIKWETE KATIKA PICHA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA NDANI NA NJE YA NCHI IKULU LEO
Reviewed by crispaseve
on
13:57
Rating:
Post a Comment