MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA CHADEMA KINONDONI,WAKIPINGA KUZUIWA KUINGIA KATIKATI YA JIJI
Madereva
Bajaj wakiwa nje ya ofisi za chadema makao makuu kinondoni wakipinga
tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini.
Mmoja wa Madereva Bajaj Akiongea na vyombo vya habari mda huu makao makuu ya chadema kinondoni.
Polisi wakiwa wamefika eneo la tukio mda huu ili kuweza kuweka hali ya usalama na kuzuia vurugu
Waendesha
bodaboda na bajaj jijini dar mda huu wameandamana mpaka Ofisi za
chadema makao makuu kinondoni,Nia ya maandamano yao hayo ni kupinga
tamko linalowataka kutopeleka abiria maeneo yote ya kati kati ya jiji la
dar.Mmoja wa madereva hao akiongea na mtandao wetu anasema kwamba
wameamua kuandamana mpaka ofisi za chadema kwa kuwa wanaamini ndio
watapata msaada.Taarifa kamili na picha zaidi zitakujia inakujia hivi
punde.HABARI NA DJ SEK BLOG.
MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA CHADEMA KINONDONI,WAKIPINGA KUZUIWA KUINGIA KATIKATI YA JIJI
Reviewed by crispaseve
on
13:30
Rating:
Post a Comment