Wafanyabiashara na wachimbaji Tanzania walifikia soko la madini Kimataifa.
Wafanybiashara
na Wachimbaji waliowakilisha wenzao katika Maonesho ya 53 ya Bangkok Gems and
Jewelry Fair’ wakiwasikiliza wageni waliotembelea banda la Tanzania kuona aina
mbali mbali za madini ya Vito na Usonara yaliyowasilishwa katika maonesho hayo.
Mthamini
wa madini kutoka idara ya Uthamini wa madini ya Almas (TANSORT) Bw. Edward
Rweymamu (katikati), akiwaeleza jambo wageni waliotembelea banda la Tanzania
katika maonesho hayo. Wanaoshuhudia wa kwanza kushoto ni Mratibu kutoka Kituo
cha ‘Tanzania Geomological Center’ (TGC), Bw. Musa Shanyangi na wa kwanza kulia
ni Mthamini wa Madini kutoka Idara ya uthamini madini ya almsi (TANSORT), Wizara ya Nishati na Madini Bibi.
Teddy Goliama.
Mwandishi
wa habari hii (Kushoto) Asteria Muhozya, akifanya mahojiano na wafanyabiashara
wa madini walioshiriki maonesho ya Vito na Usonara ili kutaka kujua namna
walivyofaidika na ushiriki wao katika maonesho hayo. Anayeongea ni Bw. Jeremiah
Simioni Mfanyabiashara kutoka Kampuni ya Tom Gems na katikati ni Mfanyabiashara
Mhe. Dorah Mushi kutoka Kampuni ya H.B Mining Company.
========== ======== ======
Wafanyabiashara na wachimbaji Tanzania walifikia soko la madini Kimataifa.
Reviewed by crispaseve
on
13:35
Rating:
Post a Comment