Header AD

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAZISHI YA MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN GABRIEL LEO MKOANI MOROGORO



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika leo Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani Morogoro.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi leo Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani yake yaliyofanyika Morogoro.
 Makamu wa Rais akiweka udongo kwenye kaburi.
(Picha na OMR)
 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole mjane wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mama Katherine Msamati baada ya mazishi yake yaliyofanyika leo Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole Baba mzazi wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mzee Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika leo Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani Morogoro.
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAZISHI YA MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN GABRIEL LEO MKOANI MOROGORO  MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAZISHI YA MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN GABRIEL LEO MKOANI MOROGORO Reviewed by crispaseve on 14:24 Rating: 5

No comments

Post AD