MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal
(kulia) akibonyeza kitufe kufungua maonesho ya kazi za wanawake wakati
wa Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani zilizofanyika leo ukumbi wa
Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam. Kushoto ni mwandaaji wa
maonesho haya Bi. Shamim Mwasha ambaye ni mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya 8020 Fashions (http://www.8020fashionsblog.com/)
Mama
Asha Bilal akiingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee wakati wa
Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani zilizofanyika leo. Kushoto ni
mwandaaji wa hafla hiyo Bi. ShamimMwasha wa 8020 Fashions na kulia ni
mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal
akiwa meza kuu pamoja na waandaaji na wake wa Viongozi mbalimbali
kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Diamond
Jubilee leo
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal, akihutubia kwenya hafla hiyo
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal, akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla hiyo
Mama Asha Bilal akiangalia kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla hiyo
Mama Asha Bilal akiwapongeza wanawake walioonesha kazi zao kwenye hafla hiyo
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal,
akimkabidhi cheti mmnoja ya wadhamini wa shughuli ya maadhimisho ya siku
ya wanawake Duniani yaliyoandaliwa na kampuni ya 80-20 Fashen ya Sinza
jijini Dar es salaam bibi Mwanjaa Serabe Meneja wa mpango wa uchangiaji
wa hiyari wa PSPF yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Malkia wa Taarab Khadija Omar Kopa akitumbiza kwenye Maadhimisho ya siku wa Wanawake Duniani katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Mama
Asha Bilal akiwa katika picha ya pamoja na wake wa Viongozi mbalimbali
kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Diamond
Jubilee leo. Picha na OMR
MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions
Reviewed by crispaseve
on
21:49
Rating:
Post a Comment