Mtandao wa twitter kufungwa Uturuki

Mtandao wa kijamii wa Twitter wafungwa Uturuki
Mtandao
wa kijamii wa , Twitter, unafungwa nchini Uturuki , saa chache baada ya
waziri mkuu , Recep Tayyip Erdogan, kuahidi kuuondoa .
Bwana
Erdogan -- ambaye anakabiliwa na kashfa kubwa ya ufisadi aliwaambia
maelfu ya wafuasi wake katika mkutano wa uchaguzi kuwa hajali kuhusu
namna jamii ya kimataifa itakavyochukulia hatua yake .
Neelie Kroes, ambaye ni naibu rais wa tume ya muungano wa Ulaya amesema umamuzi wa kufungwa kwa mtandao huo ni wa kulaumiwa .
Serikali
ya Bwana Erdogan imekuwa ikilalamika kuwa mtandao wa Twitter ulipuuza
uamuzi wa mahakama ulioitaka viunganishi vya taarifa zake vinashukiwa
kurekodi mawasiliano yake binafsi.Chanzo BBC Swahili
Mtandao wa twitter kufungwa Uturuki
Reviewed by crispaseve
on
05:30
Rating:
Post a Comment