OMMY DIMPOZ AACHIA PICHA AKIWA NA MCHUCHU AKE MITAA YA JIJI LA LONDON, UINGEREZA.
Mmanyema anayefanya vizuri kwenye gemu ya muziki wa Bongo
Fleva nchini, Omari Nyembo ei kei ei Ommy Dimpoz ameachia picha za
kutosha kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa katika mitaa ya jiji
London bege kwa bega na mchuchu wake na nyingine akiwa amejiegesha
kwenye ndinga moja hatari aina ya Lamborghini.
”I think is a perfect time now to Get Marriage!!! Vipi najua
kuchagua?” aliandika Dimpoz chini ya picha aliyokuwa amepiga na mkewe
huyo mtarajiwa.
OMMY DIMPOZ AACHIA PICHA AKIWA NA MCHUCHU AKE MITAA YA JIJI LA LONDON, UINGEREZA.
Reviewed by crispaseve
on
15:33
Rating:
Post a Comment