|
"Haya
Mheshimiwa Mbunge sasa nakata utepe kuzindua rasmi usambazaji dawa za
serikali ulio chini ya MSD" ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii Dk. Kebwe akishuhudiwa na Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Prof. Tibaijuka (Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini) .
|
"Haya
tupige makofi kwa pamoja kuashiria kukubali uzinduzi huu" Naibu Waziri
Dk. Kebwe (Kulia), Waziri Prof. Tibaijuka (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi
Mkuu MSD Bw. Mwaifwani.
|
Afisa
Habari wa MSD Makao Makuu (Mwenye Kipeperushi cha Bendera ya MSD) na
Baadhi ya watumishi wakifuatilia kwa umakini shughuli za uzinduzi wa
Kituo kipya |
|
|
Meneja
wa MSD Kanda ya Mwanza Tabula akiwa na Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini
Prof. Tibaijuka ambaye pia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya MSD Prof.
Mtulia (Mwenye suti) wapili Kulia, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii Dk. Kebwe (Nyuma mwenye suti) na Mkurugenzi MSD Kanda Makao Bw.
Tell (Mwenye miwani aliyevaa shati nyeupe nyuma) |
|
|
Post a Comment