KAULI MBIU YA SIKU YA AFYA YA FIGO 13 MACHI
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Seif Rashidi akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, kuhusu maadhimisho ya wiki ya afya
ya Figo itakayoanza tarehe 10 hadi 14, na kuadhimishwa kitaifa tarehe
13 mjini Dodoma katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, kauli mbiu ya maadhimisho hayo ni “Figo huzeeka , kadiri mtu anavyozeeka. Jali afya ya Figo zako”.( Lorietha Laurence-Maelezo)
KAULI MBIU YA SIKU YA AFYA YA FIGO 13 MACHI
Reviewed by crispaseve
on
09:47
Rating:
Post a Comment