Picha: Skylight Band yatikisa jiji la Dar kwenye 'Nyama Choma Festival' ndani ya viwanja vya Posta
Sam
Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake kwenye tamasha la
Nyama Choma lililofanyika Jumamosi hii kwenye vianjwa vya Posta jijini
Dar ambapo Skylight Band iliongoza kwa kukusanya mashabiki lukuki.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akishindana na mmoja wa mashabiki kucheza wimbo wa Davido SKELEWU.
SKELEWU SKELEWU SKELELEEE.......!!
Vijana wa Skylight Band wakishambulia jukwaa.
Mashabiki
wakijiachia wakati Skylight Band ilipokuwa ikitumbuiza kwenye Tamasha
la Nyama Choma lilofanyika Jumamosi hii ndani ya viwanja vya Posta
Kijitonyama jijini Dar.
Winfrida
Richard (katikati), Hashim Donode pamoja na Digna Mbepera wakiwapa raha
mashabiki wa Skylight Band kwenye tamasha la Nyama Choma ndani ya
viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar.
Burudani zilikuwa nyingi kwenye tamasha la Nyama Choma lakini Skylight Band ilifunika kwenye kuteka mamia ya mashabiki.
Umati wa wakazi wa jijini Dar wakipata burudani ya aina yake kwenye tamasha la Nyama Choma wakati Skylight Band ikitumbuiza.
Mashabiki wa Skylight Band waliamua kupanda jukwaani na kuonyeshana ufundi.
Dar es Salaam are you feeling the music..........yeah......!!!
Daudi Tumba na mpiga Bass wa Skylight Band Chili Chala wakifanya yao jukwaani.
Ukizingatia ilikuwa ni siku ya Wanawake Duniani walipataje raha na Skylight Band....!
Mtaalam wa Nyama Choma akifanya yake ndani ya viwanja vya Posta.
Kuku wakiwa kwenye hatua za maandalizi.
Familia ya Skylight Band ikiongozwa na Mkurugenzi mkuu wa Band hiyo Dr. Sebastian Ndege.
Mmilikiwa
Duka la Zuri Fashion Boutique, Fashionista ambaye pia ni Blogger dada
Jestina George akishow love na shemeji yake kwenye Nyama Choma Festival
iliyofanyika kwenye viwanja vya Posta.
When
Bloggers meet! Operations Manager wa MOblog Zainul Mzige akipata ukodak
na Blogger Jestina George...hawa jamaa walikuwa wakiwasiliana kwa njia
ya barua pepe katika kupashana habari, hatimaye walikutana uso kwa uso
kwenye Nyama Choma Festival ndani viwanja vya Posta.
Pichani
juu na chini ni baadhi ya wadau walihudhuria Nyama Choma Festival
iliyofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja vya Posta jijini Dar.
Mzee wa Skonga ya EATV Allan Lucky akishow love na warembo ndani ya Nyama Choma Festival.
Mrs. Lucky pamoja na wifi yake.
Mdau Emmanuel akishow love na mrembo wa ukweeeh ndani ya viwanja vya Posta.
Model Danny David pamoja na Noel Ndale wakipata Ukodak kwenye Nyama Choma Festival.
Noel Ndale akishow love na mrembo kwenye band la Jack Daniel's.
Picha: Skylight Band yatikisa jiji la Dar kwenye 'Nyama Choma Festival' ndani ya viwanja vya Posta
Reviewed by crispaseve
on
00:18
Rating:
Post a Comment