Rais Jakaya Kikwete na Viongozi wa Bunge Maalum la Katiba IKULU Ndogo Mjini Dodoma Muda mfupi baada ya Kuwaapisha
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba
Mh.Samuel Sitta(kushoto) na Makamu Mwenyekiti Mhe.Samia Suluhu(kulia)
wakati wa hafla ya kuwaapisha katibu na naibu katibu wa Benge maalum la
katiba zilizofanyika katika viwanja vya ikulu ndogo mjini Dodoma jana asubuhi
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Katibu na naibu katibu wa Bunge maalum
la Katiba muda mfupi baada ya kuwaapisha katika ikulu ndogo mjini Dodoma
jana asubuhi.Kushoto ni Katbu Wa Bunge hilo Bwana Yahya Khamis Hamad
na
kulia ni Naibu Katibu Dkt.Thomas Kashililah.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa
serikali na viongozi wa bunge maalum la katiba muda mfupi baada ya
kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge hilo katika hafla
iliyofanyika ikulu ndogo mjini Dodoma jana . Kutoka kushoto ni Katibu wa
Bunge maalum la Katiba Bwana Yahya Khamis Hamad,Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue. Waziri Mkuu Mizengo Pinda ,Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Mh.Samuel Sitta,Makamu Mwenyekiti wa Bunge maalum la
Katiba Mh.Samia Suluhu, Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar Balozi Sefu Iddi, Naibu Katibu wa Bunge Maalum Dkt.Thomas
Kashilila na kulia ni Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalum la katiba
aliyemaliza muda wake Mh.Pandu Ameir Kificho(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akifurahi jamabo na viongozi waandamizi wa
serikali na viongozi wa bunge maalum la katiba muda mfupi baada ya
kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge hilo katika hafla
iliyofanyika ikulu ndogo mjini Dodoma jana . Picha na Freddy Maro-IKULU
Rais Jakaya Kikwete na Viongozi wa Bunge Maalum la Katiba IKULU Ndogo Mjini Dodoma Muda mfupi baada ya Kuwaapisha
Reviewed by crispaseve
on
09:51
Rating:
Post a Comment