Picha:CCM Yafunga Kazi Kalenga
Wananchi
wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa
Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa
kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na
kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye Uwanja wa Mnada, Kijiji cha
Kidamali, Kata ya Nzihi.Picha na Bashir Nkoromo
Picha:CCM Yafunga Kazi Kalenga
Reviewed by crispaseve
on
09:50
Rating:
Post a Comment