NDOA YA NUKIA KATI YA PAUL OKOYE WA PSQUARE NA BABY AKE WA MUDA MREFU.
Dalili ya mvua huwa ni mawingu au Radi, SUPASTAA anayeunda kundi la Psquare, Paul Okoye, pacha wa Peter, ameachia picha za kutosha za pre wedding akiwa na mchumba ake wa muda mrefu anayeitwa Anita na hivyo kuashiria kuwa ataingia kwenye chama cha Wanandoa kipindi sio kirefu kama alivyofanya pacha wake .
”My everything……….gonna fly straight to the sky. Just me & you. Love u baby!!! #PreWeddingShoots aliandika Paul kwenye Facebook kisha kutupia baadhi ya picha, watazame mwenyewe jinsi walivyopendeza…
NDOA YA NUKIA KATI YA PAUL OKOYE WA PSQUARE NA BABY AKE WA MUDA MREFU.
Reviewed by crispaseve
on
22:07
Rating:
Post a Comment